"free primary education"

"free primary education"

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,090
Ukisikia serikali inavyotamba kwamba elimu ya shule ya msingi ni bure kwa kila mtoto wa kitanzania kwa shule za umma. Lakini kunamichango chungu nzima, mara mtoto anadaiwa sare,dawati, pesa ya mlinzi, pesa ya taaluma n.k. Sasa huu ubure unatoka wapi? Mbona gharama ni kubwa za kumsomesha mtoto primary kuliko hata tulizo lipa miaka ya 1990? Kutoripa ada sio tatizo bora walipe lakini utitiri wa michango upigwe marufuku. Kunamichango mingine walimu wakuu wanajianzishia tu from no where wanafunzi wanaombwa pesa, tena nyingi. Bora kodi tuliyotozwa miaka ya 90 ya kusakwa majumbani, kuliko tunayotozwa sasahivi, tunaliwa pesa nyingi kwa mwaka kuliko ile ya kusakana ya enzi hizo. Bora kila mtu mzima atozwe 20000 kwa mwaka kuliko kodi ya kulipa kila bidhaa au huduma unayo tumia.
 
Back
Top Bottom