Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Ndo shida ya wabongoAnapigwa mtu sshv
Leta baba 😅Kuna wadau waliomba niwe naleta utabiri wa mipira ukiacha kutoa tabiri mbali mbali,afya,taifa nk.
Hatimae Leo nimefungua rasmi Uzi wa utabiri wa mikeka.
Naleta muhuni anaanza kelele sijui mzaramo uyu 😂😂😂Leta baba 😅
mkuu uliona simba win au uliona 2-0 ? ili wadau wasogee karibuUtabiri umeenda kama nilivyo ona.View attachment 3660848
Niliona Simba anashinda na ndo utabiri wangu,ayo niliyo leta 2-0 ni matokeo baada ya game kuisha ivyo utabiri umeenda kama nilivyo onamkuu uliona simba win au uliona 2-0 ? ili wadau wasogee karibu
Sawa mkuu,Niliona Simba anashinda na ndo utabiri wangu,ayo niliyo leta 2-0 ni matokeo baada ya game kuisha ivyo utabiri umeenda kama nilivyo ona
Wewe hizo odd 1.18 ndiyo za kujisifu?15:00
⚽
Tanzania: Ligi Kuu Bara
Simba
vs
Geita Gold
ODDS
1.18
Prob.
84.7
1
33.3
X
5
2
🔥
Predictions
S
imba to Win
✅ Won
Naunga mkono hojaWewe hizo odd 1.18 ndiyo za kujisifu?
Watu humu wanaburuza odds 100-1000 na wamejikausha tu.
Watu hizo odds zako 1.5 hadi 2 ni oddz za kwenye mkeka 1 wenye mechi hata 30 za odds 2 na watu wsna buruza.
Kama wewe mtabiri leta zile dry ngumu kumeza
Websites gani hiyo simba alipewa 1.18? Simba na yanga wote wawili jana odds walizopewa hata 1.1 hazikufika15:00
Tanzania: Ligi Kuu Bara.
SimbavsGeita Gold
1.18 odds
Prob.
1
X
2
Predictions
Simba to Win
Pending
Ni upotevu wa muda kuandaa mkeka wa mechi 5+ wenye odds zisizovuka hata 2 achilia 1.8