Wadau wa uzi habariní. Naombeni ushauri juu ya namna ya kuwa FREELANCE ECOLOGIST. Kwa kiswahili kama MWANAHABARI wa MAZINGIRA WA KUJITEGEMEA. Katika hilo nataraji kutafuta na kuzifanyia kazí habari mbalimbali za mazingira na jamii inayozunguka kwa ujumla,na aidha kuziuza au kuziwasilisha katika MAGAZINE pia ambalo nataraji kuanzisha kupitia mawazo na ushauri wenu. Naomba kujua naanzia wapi na naelekea wapi katika harakati zangu za kufungua na kuanzisha MAGAZINE ya Mazingira pamoja na mwenyewe kuwa mwana habari wa kujitegemea. NAOMBENI MAWAZO YENU YA DHATI,MIMI NI MWANACHUO NASOMEA PROGRAMME YA MAZINGIRA. Karibuni
Last edited by a moderator: