Freelance Employment contract

Joseph Zito

Member
Joined
May 13, 2011
Posts
15
Reaction score
1
Jamani naomba kujuzwa kuwa sheria yetu ya ajira inazungumzia je kuhusu Freelance Contract
 
freelance cntrct,inamana unakua undr contract fo service...protectn yake ni ndogo tofaut na contrakt of service! Kifungu cha 4 cha sheria ya ajira na mahusiano kazini,uksoma kwa p1 na kifungu cha 63 cha sheria ya labour Institution...znatoa mwajiriwa ni nan hasa ktk mikataba ya kazi!
 
naomba ufafanuzi kati ya contract for service na Contract of service ni haki zipi kati ya hawa wanazo
 
Cha muhimu hapo sio jina la mkataba (form) bali ni uhalisia (substance) wa hayo mahusiano yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…