De Caprion
Member
- Sep 24, 2012
- 10
- 0
Wana JF, natafuta kazi za Freelance Graphic designer, ninauzoefu mkali sana, na kufanya kazi faster, nina I Mac, iko fresh, tunatumiana kazi na maelezo mi nafanya faster na kuemail back, mwenye kujua kampuni inayoweza kufanya kazi na mimi please naomba details zao, niweze tafuta matonge, ntakufa na njaa mjini hapa...