Freelance Job

SamJet

Senior Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
162
Reaction score
13
Anatafutwa mtu mwenye blogu hai ya recruitment/kazi/ajira ya hapa Tanzania ili tumpe mkataba.
awasiliane na sam@peppre.com
 
Amam ambaye hana lakini ana uzoefu wa wordpress!
 
Mwanzisha mada unaweza ukatoa maelezo ya kina zaidi?
 
Ndibalema unatafuta kutandikwa!! subiri uambiwe kuna ada ya kujisajili kabla ya kupewa hiyo kazi ndiyo akili zitakurudia.
Aisee brother Matola ndio kinachofuata hicho.
Siku hizi wajanja wana take advantage ya tatizo la ajira nchini kujinufaisha wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…