🚨FREELANCE TASK🚨 Mtaalamu wa kutengeneza 3D models anahitajika

🚨FREELANCE TASK🚨 Mtaalamu wa kutengeneza 3D models anahitajika

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,227
Reaction score
1,818
Salaam,
Kama una uwezo wa kutengenenza 3D models unahitajika kuna task inatakiwa kufanyika, na malipo utapata baada ya kazi. Na kama utafanya vizuri, utakuwa unapewa task za mara kwa mara.
Hii siyo ya kukosa.

Kama una skills hizo, karibu PM.
 
Back
Top Bottom