Freelance Tour guide services in Tanzania/Zanzibar

Freelance Tour guide services in Tanzania/Zanzibar

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Wadau JF,
Tunatoa huduma za kutembeza watalii wa nje na wale wa ndani wanaopenda kutembelea mikoa ifuatayo Arusha,Tanga,Kilimanjaro/Moshi,Morogoro,Dar es salaam,Mwanza na Zanzibar.Tunakutembeza katika maeneo yote utakayo kama maeneo ya kihistoria,burudani na vivutio vingine pia tutakusaidia kuchagua Hoteli nzuri kwa ajili ya malazi kwa bajeti yako.Ukiwa unahitaji Tour Guide ni vema kufanya booking mapema kupitia infotanzaniaa@gmail.com au piga 0787 140432.Maandalizi mema ya sikukuu za mwisho wa mwaka.!
 
Back
Top Bottom