Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 920
Wakuu Kama nilivyo ainisha kwenye kichwa hapo juu msaada please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani lazima iwe gigsIzo pesa umepiga gigs gan kwanza
Kuna njia mbili za kutoa pesa payoneer to airtel money.
Nashukuru mkuu ila nimetumia hiyo option ya kwanza naona Kama nimekwama sehemu kwamaana sioni sehemu ya kuweka namba za MasterCard yangu au kunasehemu nakoseaKuna njia mbili za kutoa pesa payoneer to airtel money.
1. Nenda kwenye app ya airtel money chagua get money chagua mastercard weka details za mastercard kadiria fedha zilizo payoneer in tshs, na uache 5% ya hicho kiasi maana ndo fee yao then endelea pesa itakuja.
View attachment 2540210
Njia ya pili ninayopenda zaidi ni hii
2. Uwe na acc ya skrill na safaricom.
Ingia skrill, chagua tranfer chagua kenya weka kiasi cha dollar zote zilizoko payoneer, enda next weka namba ya safaricom, then weka details tuma.
Utapokea ile ela safaricom haina fees ila wanakula kwenye fx, kisha itume from safaricom to airtel money au mpesa nako hawakati ila wanakula kwente fx. Hii ndio naitumia kila siku.
All the best
Hapo weka pesa na email estimate hizo dollar zitakuwa kiasi gan kwa tshs lakini uache 5% ndio gharama step itakayofuata ndo ya kuweka details za mastercard ukisha bonyeza hiyo proceed.Nashukuru mkuu ila nimetumia hiyo option ya kwanza naona Kama nimekwama sehemu kwamaana sioni sehemu ya kuweka namba za MasterCard yangu au kunasehemu nakoseaView attachment 2540289
Nashukuru mkuu ila imegoma wanasema Hawa support hii kadiHapo weka pesa na email estimate hizo dollar zitakuwa kiasi gan kwa tshs lakini uache 5% ndio gharama step itakayofuata ndo ya kuweka details za mastercard ukisha bonyeza hiyo proceed.
Sometimes wanazingua hawa. Hapo kama una safaricom jaribu option nliyokwambia ya skrill. Safaricom them mtandao wa tz.Nashukuru mkuu ila imegoma wanasema Hawa support hii kadiView attachment 2540368
Poa nashukuru mkuu ngoja ni angalie uwezekano na vipi nikitoa kupitia ATM wanacharge tsh ngapi au nikitransfer bank wanacharge kiasi gani maana nimeambiwa kuanzia mwaka 2021 walikua wanacharge $15 transaction fees hii imekajeSometimes wanazingua hawa. Hapo kama una safaricom jaribu option nliyokwambia ya skrill. Safaricom them mtandao wa tz.
Hawa wanaohandle hiyo miamala sio airtel ni kampuni nyingine sometimes wanazingua hasa kuanzia mwishoni mwa mwaka jana.
Si unaona hii screenshot na ni instant
View attachment 2540377
Yah bado hiyo hiyo, na kutoa via bank transfer ni $13 hivi thou sometimes bank yako inaweza kukuchaj landing fee piaPoa nashukuru mkuu ngoja ni angalie uwezekano na vipi nikitoa kupitia ATM wanacharge tsh ngapi au nikitransfer bank wanacharge kiasi gani maana nimeambiwa kuanzia mwaka 2021 walikua wanacharge $15 transaction fees hii imekaje
Poa nashukuru mkuu nitaleta mrejeshoYah bado hiyo hiyo, na kutoa via bank transfer ni $13 hivi thou sometimes bank yako inaweza kukuchaj landing fee pia