Freelancers mnatoaje pesa toka Payoneer card to Airtel Money

Superpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
826
Reaction score
920
Wakuu Kama nilivyo ainisha kwenye kichwa hapo juu msaada please.

Wakuu Kama nilivyo ainisha kwenye kichwa hapo juu msaada please.

View attachment 2539832
Kuna njia mbili za kutoa pesa payoneer to airtel money.
1. Nenda kwenye app ya airtel money chagua get money chagua mastercard weka details za mastercard kadiria fedha zilizo payoneer in tshs, na uache 5% ya hicho kiasi maana ndo fee yao then endelea pesa itakuja.

Njia ya pili ninayopenda zaidi ni hii
2. Uwe na acc ya skrill na safaricom.
Ingia skrill, chagua tranfer chagua kenya weka kiasi cha dollar zote zilizoko payoneer, enda next weka namba ya safaricom, then weka details tuma.
Utapokea ile ela safaricom haina fees ila wanakula kwenye fx, kisha itume from safaricom to airtel money au mpesa nako hawakati ila wanakula kwente fx. Hii ndio naitumia kila siku.
All the best
 
Nashukuru mkuu ila nimetumia hiyo option ya kwanza naona Kama nimekwama sehemu kwamaana sioni sehemu ya kuweka namba za MasterCard yangu au kunasehemu nakosea
 
Nashukuru mkuu ila nimetumia hiyo option ya kwanza naona Kama nimekwama sehemu kwamaana sioni sehemu ya kuweka namba za MasterCard yangu au kunasehemu nakoseaView attachment 2540289
Hapo weka pesa na email estimate hizo dollar zitakuwa kiasi gan kwa tshs lakini uache 5% ndio gharama step itakayofuata ndo ya kuweka details za mastercard ukisha bonyeza hiyo proceed.
 
Hapo weka pesa na email estimate hizo dollar zitakuwa kiasi gan kwa tshs lakini uache 5% ndio gharama step itakayofuata ndo ya kuweka details za mastercard ukisha bonyeza hiyo proceed.
Nashukuru mkuu ila imegoma wanasema Hawa support hii kadi
 
Nashukuru mkuu ila imegoma wanasema Hawa support hii kadiView attachment 2540368
Sometimes wanazingua hawa. Hapo kama una safaricom jaribu option nliyokwambia ya skrill. Safaricom them mtandao wa tz.
Hawa wanaohandle hiyo miamala sio airtel ni kampuni nyingine sometimes wanazingua hasa kuanzia mwishoni mwa mwaka jana.
Si unaona hii screenshot na ni instant
 
Poa nashukuru mkuu ngoja ni angalie uwezekano na vipi nikitoa kupitia ATM wanacharge tsh ngapi au nikitransfer bank wanacharge kiasi gani maana nimeambiwa kuanzia mwaka 2021 walikua wanacharge $15 transaction fees hii imekaje
 
Yah bado hiyo hiyo, na kutoa via bank transfer ni $13 hivi thou sometimes bank yako inaweza kukuchaj landing fee pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…