Freeman Aikaeli Mbowe: Mzalendo namba moja Tanzania

Ngoja tulimie meno kwanza mpaka siku tutakapogundua hivyo. Ulimwengu alisema demekrasia imerudi nyuma miaka 50 watu hawakumuelewa kwa ajili ya propaganda za kuunga Juhudi.
 
Babies wa chadema hao,duh ila yataka moyo unajua mkeo anaitwa babies na bado hushituki unaendelea kumruhusu mkeo,msemaji wa ufipa heri hata mkeo kahama maana sio kwa mkameme wa wa boss babies (mbo)we)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzalendo wa kutapeli watu pesa na kuiba ruzuku .alivyomchafu hata mtumie sabuni gani hasafishiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mtu anaweza akaiba na serikali ya CCM imeshindwa kuchukua hatua za kisheria, Basi dhahiri hiyo serikali ni corrupt na haifai kabisa.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…