CAG report inatumika kama chaka la kujificha tu. Kama genge la kamati kuu likiwekwa sawa wakakaa kikao, wakasaini mahudhurio kukubali deni feki na kuridhia kulipwa, hapo hati safi mbona inatoka.Tunaheshimu ripoti ya CAG mengine ni majungu
Mtayapata majibuCAG report inatumika kama chaka la kujificha tu. Kama genge la kamati kuu likiwekwa sawa wakakaa kikao, wakasaini mahudhurio kukubali deni feki na kuridhia kulipwa, hapo hati safi mbona inatoka.
Again, mimi sisemi hii tuhuma ni ya kweli, bali ilitakiwa kujibiwa kwa data.
Kibaya zaidi unaishia na dua la mwewe kwa mwewe...Mtoto wa dada na JIiwe ndio majizi makuu ya kodi zetu tena yasiyotaka hata kuhojiwa..
Dah! Huyu dada sijui anajisikiaje kuzaa na baba yake mzazi?https://www.facebook.com/
Jr[emoji769]
Safi sana hata Rais wa nchi anamkubali Mbowehttps://www.facebook.com/
Jr[emoji769]