Freeman Mbowe achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), makamu wake akiwa ni Kiongozi wa Chama Cha ACTwazalendo, Dorothy Semu.
 
Lisu huko aliko atakuwa kachanganyikiwa Kuona Mbowe.ndie.mwenyekiti.ea TCD ambaye watakaa pamoja na wenyeviti wa vyama Akiwemo Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…