Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwamba Mbowe, ambaye sasa amepewa jina Jipya la Mtu chuma, anaendelea na ziara ya Kampeni Mkoani Mbeya.
Hii hapa ni Kata ya Igawilo
Taarifa zingine zinaeleza kwamba Mwanasiasa huyo Maarafu zaidi kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu akifuatiwa kwa mbali na Raila Odinga, Amepangiwa kuhutubia Mikutano Minne kwa siku ya leo tu.