LGE2024 Freeman Mbowe afanya mikutano 9 Mbeya leo tu, Huu hapa ni wa Mbeya Mjini

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Usisahau pia kwamba alilala Polisi baada ya Mamluki RPC wa Songwe kutumikishwa na CCM kwa lengo la kudhoofisha Kampeni za Chadema

Sasa angalia Hapa Mbeya Mjini, Baada ya Mikutano mingine 8

Screenshot_2024-11-23-19-03-33-2.png

Katika Mikutano yote hiyo Mbowe amesisitiza Wananchi kuwakataa waliowaletea Umasikini na dhiki zote kwa zaidi ya miaka 60, Amesema kwamba, Matatizo ya Tanzania hayawezi kumalizwa kwa kutumia akili zilezile za watu wale wale walioyaleta

#WATAKE WASITAKE
 
Let the truth be told.. Mbowe and Lissu are above next Level
Na bado kuna msururu wa maelfu ya viongozi na mamilioni ya wana chama.. Hawa Wote kwa chemistry yao wana tengeneza one of the most famous opposition part in Tanganyika.. With true and sound vision and mission
 
Mwalimu vipi?
 
Hili ni jibu zuri sana kwa Chama Cha Mashetani CCM na viongozi wake mashetani wanaodhani wataua dhamira za watu kwa kutumia mapolisi juha.
 
Hili ni jibu zuri sana kwa Chama Cha Mashetani CCM na viongozi wake mashetani wanaodhani wataua dhamira za watu kwa kutumia
Kuwa mkweli jana hakuwa kwenye ratiba ya songwe yeye jana alikutana na mamluki mwenzake!
Mbowe au kiongozi yeyote wa chama cha siasa, hana ratiba kwenye mikutano ya kampeni, mwenye ratiba ni mgombea. Mgombea ana uhuru wa kumwalika mtu yeyote kwenye kampeni yake. Ndiyo maana Mbowe na mwingine yeyote hakuwa na kosa lolote kuwepo kwenye ratiba ya kampeni ya ACT, kama mwenye ratiba ameridhia, na hakulalamika.
 
Let the truth be told.. Mbowe and Lissu are above next Level
Na bado kuna msururu wa maelfu ya viongozi na mamilioni ya wana chama.. Hawa Wote kwa chemistry yao wana tengeneza one of the most famous opposition part in Tanganyika.. With true and sound vision and mission
Ukweli mtupu!
 
Hili ni jibu zuri sana kwa Chama Cha Mashetani CCM na viongozi wake mashetani wanaodhani wataua dhamira za watu kwa kutumia

Mbowe au kiongozi yeyote wa chama cha siasa, hana ratiba kwenye mikutano ya kampeni, mwenye ratiba ni mgombea. Mgombea ana uhuru wa kumwalika mtu yeyote kwenye kampeni yake. Ndiyo maana Mbowe na mwingine yeyote hakuwa na kosa lolote kuwepo kwenye ratiba ya kampeni ya ACT, kama mwenye ratiba ameridhia, na hakulalamika.
Kesho kuna maandamano vipi utamuunga mkono Mbowe!
 
Usisahau pia kwamba alilala Polisi baada ya Mamluki RPC wa Songwe kutumikishwa na CCM kwa lengo la kudhoofisha Kampeni za Chadema

Sasa angalia Hapa Mbeya Mjini, Baada ya Mikutano mingine 8

View attachment 3159778

Katika Mikutano yote hiyo Mbowe amesisitiza Wananchi kuwakataa waliowaletea Umasikini na dhiki zote kwa zaidi ya miaka 60, Amesema kwamba, Matatizo ya Tanzania hayawezi kumalizwa kwa kutumia akili zilezile za watu wale wale walioyaleta

#WATAKE WASITAKE
AKili zile zile za watu walewale walioshindwa
 
Back
Top Bottom