Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
AmenCdm for life✌🏿
Ccm bila ya msaada ya policcm haina uwezo wa kushindana kwa lolote. Hata wewe unajua kinafikinafikiKuwa mkweli jana hakuwa kwenye ratiba ya songwe yeye jana alikutana na mamluki mwenzake!
Mwalimu vipi?Let the truth be told.. Mbowe and Lissu are above next Level
Na bado kuna msururu wa maelfu ya viongozi na mamilioni ya wana chama.. Hawa Wote kwa chemistry yao wana tengeneza one of the most famous opposition part in Tanganyika.. With true and sound vision and mission
Mbowe au kiongozi yeyote wa chama cha siasa, hana ratiba kwenye mikutano ya kampeni, mwenye ratiba ni mgombea. Mgombea ana uhuru wa kumwalika mtu yeyote kwenye kampeni yake. Ndiyo maana Mbowe na mwingine yeyote hakuwa na kosa lolote kuwepo kwenye ratiba ya kampeni ya ACT, kama mwenye ratiba ameridhia, na hakulalamika.Kuwa mkweli jana hakuwa kwenye ratiba ya songwe yeye jana alikutana na mamluki mwenzake!
Ukweli mtupu!Let the truth be told.. Mbowe and Lissu are above next Level
Na bado kuna msururu wa maelfu ya viongozi na mamilioni ya wana chama.. Hawa Wote kwa chemistry yao wana tengeneza one of the most famous opposition part in Tanganyika.. With true and sound vision and mission
Kesho kuna maandamano vipi utamuunga mkono Mbowe!Hili ni jibu zuri sana kwa Chama Cha Mashetani CCM na viongozi wake mashetani wanaodhani wataua dhamira za watu kwa kutumia
Mbowe au kiongozi yeyote wa chama cha siasa, hana ratiba kwenye mikutano ya kampeni, mwenye ratiba ni mgombea. Mgombea ana uhuru wa kumwalika mtu yeyote kwenye kampeni yake. Ndiyo maana Mbowe na mwingine yeyote hakuwa na kosa lolote kuwepo kwenye ratiba ya kampeni ya ACT, kama mwenye ratiba ameridhia, na hakulalamika.
Sijui!Ccm bila ya msaada ya policcm haina uwezo wa kushindana kwa lolote. Hata wewe unajua kinafikinafiki
AKili zile zile za watu walewale walioshindwaUsisahau pia kwamba alilala Polisi baada ya Mamluki RPC wa Songwe kutumikishwa na CCM kwa lengo la kudhoofisha Kampeni za Chadema
Sasa angalia Hapa Mbeya Mjini, Baada ya Mikutano mingine 8
View attachment 3159778
Katika Mikutano yote hiyo Mbowe amesisitiza Wananchi kuwakataa waliowaletea Umasikini na dhiki zote kwa zaidi ya miaka 60, Amesema kwamba, Matatizo ya Tanzania hayawezi kumalizwa kwa kutumia akili zilezile za watu wale wale walioyaleta
#WATAKE WASITAKE
HahaCcm bila ya msaada ya policcm haina uwezo wa kushindana kwa lolote. Hata wewe unajua kinafikinafiki