Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Pamoja na Mikutano kadhaa aliyohutubia leo, Mwenyekiti wa Chadema amefika Mbalizi na kuwaomba wananchi wachague Wagombea wa Chadema ili kuepuka laana ya Mungu
Wakati CHADEMA ikipita huku na kule kuomba Kura Wao wanahangaika kuomba Msamaha
Swali ni Je Ni kitabu gani cha Mungu kimeagiza Wanadamu Wamsamehe Shetani?
Wakati CHADEMA ikipita huku na kule kuomba Kura Wao wanahangaika kuomba Msamaha
Swali ni Je Ni kitabu gani cha Mungu kimeagiza Wanadamu Wamsamehe Shetani?