johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chadema wanasema Freeman Mbowe abaki gerezani hadi pale haki ya kisheria itakapoonekana imetendeka. Wanaamini hii itakiimarisha chama na Mbowe mwenyewe kisiasa wakiwa wameanza kumfananisha na RIP Nelson Mandela wa SA
CCM wanataka Mbowe atolewe gerezani kupitia huruma ya Rais c/o DPP wakiamini hatua hiyo itaongeza kupendwa kwa mwenyekiti wao na wananchi wote bila kujali itikadi kuelekea 2025.
ACT wazalendo wao wanacheza kama "NDUMILAKUWILI" ili Freeman Mbowe atakapotoka gerezani kwa namna yoyote ile ionekane kuwa Jitihada za Udalali wa kisiasa wa Zitto Kabwe KC wao ndio zilizomtoa.
Nawatakia maandalizi mema ya Noel.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!