johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakika bwashee.Wakati wa Mungu utakapofika atatoka au atafungwa.
Hakuna wakwenda kinyume na mapenzi yake Mungu
Acha tuMbowe ameteseka.
Naamini hata kiuchumi hana kitu tena
Ni kosa gani kubwa hivyo la kufikia kumtesa mwenzenu kiasi hicho.
Amebakia body structure tu hata ukimtazama sana hayuko tena vzr kiakili.
Mungu kaa tuu huku Mbinguni huku maasi ni mengi
Mungu wa mbinguni ni mwema wakati wote!Mbowe ameteseka.
Naamini hata kiuchumi hana kitu tena
Ni kosa gani kubwa hivyo la kufikia kumtesa mwenzenu kiasi hicho.
Amebakia body structure tu hata ukimtazama sana hayuko tena vzr kiakili.
Mungu kaa tuu huku Mbinguni huku maasi ni mengi
Vipi umeshawahi kuwaza pia mateso ya Sabaya? Au umeshawahi kuwaza ni watu wangapi wapo magerezani wanapitia mateso kama hayo? Au Mbowe ni binadamu muhimu kuliko wengineMbowe ameteseka.
Naamini hata kiuchumi hana kitu tena
Ni kosa gani kubwa hivyo la kufikia kumtesa mwenzenu kiasi hicho.
Amebakia body structure tu hata ukimtazama sana hayuko tena vzr kiakili.
Mungu kaa tuu huku Mbinguni huku maasi ni mengi
Sabaya huyu aliyepora milioni 90 za mjasiriamali wa kichagga?Vipi umeshawahi kuwaza pia mateso ya Sabaya? Au umeshawahi kuwaza ni watu wangapi wapo magerezani wanapitia mateso kama hayo? Au Mbowe ni binadamu muhimu kuliko wengine
Waza wewe. Kwani huna kichwa na hisia? Yeye kawaza hivyo, ni kazi yako kuwazia unaoguswa nao. Usimlazimishie hisia, sawa!Vipi umeshawahi kuwaza pia mateso ya Sabaya? Au umeshawahi kuwaza ni watu wangapi wapo magerezani wanapitia mateso kama hayo? Au Mbowe ni binadamu muhimu kuliko wengine
Pole sana shemela. Ukame wa miaka 30 si wa kitoto. Vumilia tu, maisha ndivyo yalivyo.Vipi umeshawahi kuwaza pia mateso ya Sabaya? Au umeshawahi kuwaza ni watu wangapi wapo magerezani wanapitia mateso kama hayo? Au Mbowe ni binadamu muhimu kuliko wengine
Usinichanganya, fungua uzi wa hao uliowataja uone kama hatutachangia.Vipi umeshawahi kuwaza pia mateso ya Sabaya? Au umeshawahi kuwaza ni watu wangapi wapo magerezani wanapitia mateso kama hayo? Au Mbowe ni binadamu muhimu kuliko wengine
PILATO: Niwafungulie nani, Yesu au Baraba? WAYAHUDI: Barabaaaaaaa!( naye Baraba alikuwa mnyang'anyi). CCM wanaona bora Sabaya(mnyang'anyi) aachiliwe kuliko Mbowe asiyekuwa na kosa.Chadema wanasema Freeman Mbowe abaki gerezani hadi pale haki ya kisheria itakapoonekana imetendeka. Wanaamini hii itakiimarisha chama na Mbowe mwenyewe kisiasa wakiwa wameanza kumfananisha na RIP Nelson Mandela wa SA...