Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mwamba wa siasa za kisasa Barani Africa, Freeman Mbowe leo 14/07/2024 amefika Siha Mkoani Kilimanjaro, Katika Mwendelezo wa Chama chake kufundisha wananchi namna ya kulikomboa Taifa lao.
Amewaambia wananchi hao kwamba Njia pekee na ya Rahisi kabisa ya kuondoa Dhiki, Tabu, Shida, Utekaji, Mauaji, Njaa, Ukosefu wa ajira, ubabe, Uungu Mtu, Uonevu na Makandokando yote ni kuing'oa ccm madarakani kwa udi na Uvumba
Kimsingi Wananchi wa Siha ambao wengi hawamfahamu hata Mbunge wao, zaidi ya kumsikia kwa mbali kwenye vyombo vya habari, Wamekubali hoja za Mbowe na kwa sasa wanasubiri uchaguzi utangazwe tu
Hali halisi ilikuwa hivi