LGE2024 Freeman Mbowe ajiandikisha Uchaguzi Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Mwamba sana Kabisa, ameonekana kwenye kituo cha kujiandikisha huko kijijini Nshala kwenye Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro.

Amejiandikisha kwenye Daftari la Kijiji hicho ili kutimiza matakwa ya kisheria kwa lengo la kushiriki kuchagua viongozi wa kijiji chake.

Huyu hapa

 
Tunaanza nao hawa chama dola kongwe CCM 2024 Mpaka kieleweke, kujua wana mbinu gani ovu chafu 2024 na kujua kuelekea 2025 nini kifanyike.
 
Weka na wewe picha yako kila kitu mnamsusia na kusaliti chadema maandamano alionekana yeye na mwanawe tu ina watu wa hovyo sana!
 
Weka na wewe picha yako kila kitu mnamsusia na kusaliti chadema maandamano alionekana yeye na mwanawe tu ina watu wa hovyo sana!
Yangu mbona ishawekwa humu na Chadema Digital, huna macho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…