Pre GE2025 Freeman Mbowe alivyowasili tayari kwa tamko lake

Pre GE2025 Freeman Mbowe alivyowasili tayari kwa tamko lake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tutajua Sasa hiodemokrasia inayohubiriwa na Chadema Ni ipi.
 
Yaani kweli leo hii Lucas wa kumtetea mbowe ?

Nimebubujikwa na machozi ya huzuni sana..


Mwamba ni mmoja tu TL
Nimeshangaa leo maccm yanapenda mchakato wa chadema na kila siku threads humu aaaaa chadema ni mwenyekiti wa kudumu ameifanya saccos chadema.
 
Yaani kweli leo hii Lucas wa kumtetea mbowe ?

Nimebubujikwa na machozi ya huzuni sana..


Mwamba ni mmoja tu TL
Hauoni kinachofanyika? Lucas na wenzake wanamtetea sana Mbowe ili watu kama nyinyi muamini wanampenda na hivyo kuwafanya mumpigie kura Lissu. Swali ni tangu lini CCM wamempenda Mbowe kiasi hiki?

Amandla...
 
Akigombea means hapingwi. Na akigombea Chadema haitakuwa moja. Akitangaza kugombea natangaza rasmi kuwa Sitakuwa sehehmu ya yeye ndani ya chama.
Na Mimi ninashauri Mbowe akijaribu kuonyesha nia ya kugombea Uenyekiti licha ya kuwa Mwenyekiti miaka 20 na ushee basi Lisu ajiondoe Tu kwenye hicho kinyang'anyiro Ili Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wa kudumu Kwa maana ya kuwa hiyo nafasi haiwezi kushikiliwa na mtu mwingine
 
Kama atagombea akashinda hata kihalali utakuwa ndio mwisho wa chadema

Bora iki chama kife tu sio kuendelea kutumia damu za Watanzania kujinufaisha binafsi
 
Back
Top Bottom