Tetesi: Freeman Mbowe amng'oa John Mnyika CHADEMA

Kama iko hivyo kweli basi ni dhahiri Mnyika ndiye aliyekula pesa za Abdul na ndiye aliambatana na Addul nyumbani kwa Lissu
 
Siyo kitu Cha ajabu kwa Wanasiasa kufanyiana hujuma kama hizi.

Kwenye karibia nchi zote zenye Tawala zenye Itikadi ya Ujamaa/Ukomunisti, ni jambo la kawaida kabisa kwa Wanasiasa au vyama vya Siasa kupandikiziana Mamluki ili kuvurugiana mipango yao ya kisiasa kwa Watu wa Makundi yanayohasimiana kisiasa.
 
Ni kweli tunasikia kaandika barua chini ya mtutu wa bunduki na mbowe ndiyo alikuwa kamuwekea bastola aondoke kundini, dah hii NGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…