Watanzania kwa umoja wetu inapaswa tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uhai tukaweza kushuhudia uongozi imara, uliotukuka na mpenda nchi, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe ambaye amepita katika tanuru la mateso hata hivyo hivi sasa yupo mstari wa mbele kusimamia utekelezaji wa maridhiano ndani ya Chama kilicho na vijana wenye mihemko ya kulipizana visasi.
Busara na hekima za Mheshimiwa Mbowe zimetumika ipasavyo kuzima mihemko na visasi vya vijana wanasiasa ndani ya CHADEMA.
Kwa pamoja tupaze sauti Mwenyekiti Mbowe ajengewe mnara iwe ni kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
Nawasilisha!!!