johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni kama alivyofanya Trump
Freeman Mbowe anaweza Kugombea tena Uenyekiti wa Chadema kama ataona Chama kinayumba kwa huu uongozi wa Sasa. Katiba inamruhusu
Mkutano mkuu wa Chadema umeazimia Uchaguzi mkuu ujao ufanyike mwaka 2028 Ili kukwepesha Uchaguzi kufanyika miaka ya Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu
Ahsanteni sana 😄