Pre GE2025 Freeman Mbowe aomba hasira za Vijana wa Kenya iwafikie Watanzania

Pre GE2025 Freeman Mbowe aomba hasira za Vijana wa Kenya iwafikie Watanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Kamanada anatakiwa kuwa jasiri
---
Freeman mbowe akiomba hasira za vijana wa kenya iwafikie Watanzania

Akiwa kwenye mkutano huo wa kisaisa wa CHADEMA Mbowe amesema:

“angalia wakenya, watoto wana hasira na viongozi, kuanzia rais , makamu wa rais, mawaziri, wabunge. Kenya leo wabunge wanajificha kwa kufanya maamuzi kwenye bunge lao yanayoumiza maisha ya wananchi. Hilo jambo naliomba lije tanzania. Naliombea sana mungu vijana wa kitanzania hasira ,ujasiri, tuanze kutambua wanaosababisha umaskini tanzania ni viongozi wa serikali.”-
 
Back
Top Bottom