Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Hapana haitawezekana watapata sababu na pia sidhani kama mwamba atakubaliNaona endapo Mhe. Mbowe akiteuliwa na Mhe. Rais kuwa mshauri wa masuala ya biashara itamsaidia sana kukabiliana na athari za kiuchumi Duniani.
Aidha itasaidia sana katika uandaaji wa mikataba kati ya Tanzania na DP world ili maslahi ya Taifa yaweze kuonekana wazi ikiwa ni pamoja na ushirikishwaji.
Nchi ni yetu sote na sasa tuwaze kuifanya nchi isonge then siasa baadaye. Reforms za kisekta zinahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko watumishi wa umma
Kila timu ishinde mechi zake ukifungwa nje ndani unashuka daraja.Naona endapo Mhe. Mbowe akiteuliwa na Mhe. Rais kuwa mshauri wa masuala ya biashara itamsaidia sana kukabiliana na athari za kiuchumi Duniani.
Aidha itasaidia sana katika uandaaji wa mikataba kati ya Tanzania na DP world ili maslahi ya Taifa yaweze kuonekana wazi ikiwa ni pamoja na ushirikishwaji.
Nchi ni yetu sote na sasa tuwaze kuifanya nchi isonge then siasa baadaye. Reforms za kisekta zinahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko watumishi wa umma
Kwahiyo chadema hamna mpango wa kuongoza nchi mnataka mgao wa dpw?Naona endapo Mhe. Mbowe akiteuliwa na Mhe. Rais kuwa mshauri wa masuala ya biashara itamsaidia sana kukabiliana na athari za kiuchumi Duniani.