Freeman Mbowe atinga Kanda ya Kati kuendelea na Operesheni Haki

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Operesheni haki ambayo ndio mpango mpya wa Chadema kwa sasa, wenye lengo la KIZALENDO la Kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Kati.

Freeman Mbowe na kikosi chake wanatarajiwa kuongoza kikao cha Kimkakati cha Kanda hiyo. Ikumbukwe kwamba Mwenyekiti wa Kanda hii aliyeitwa Lazaro Nyalandu aliahamia CCM hivi karibu baada ya kuahidiwa Cheo.

Chadema_kaskazini’s_Instagram_photo:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_Mhe._Freeman_Mbowe_akisaini_...jpg

Pichani : Mbowe akisaini kitabu cha Wageni katika ofisi ya Kanda hiyo
 
Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara baada ya msiba mzito wa kuondokewa na rais Magufuli.

Binafsi ninazo kauli mbili ,kama na wewe unazo weka hapa.

1. Mimi na Magufuli ni kitu kimoja
Ikumbukwe mara baada ya kufariki rais Magufuli liliibuka kundi likiongozwa na Tundu Lissu na Lema likawa linashangilia kifo hicho, hali hiyo ilienea hadi kwa baadhi ya wabunge kama Nape na Makamba, badala ya kujadili bajeti wakawa wanajadili nani ni zaidi kati ya Magufuli na Samia!

Hali hiyo iliwakera sana wazalendo wa nchi yetu na rasmi likaibuka kundi jingine lililobatizwa jina la walinda legacy ya Magufuli, moja ya watu wa kundi hili waliojitokeza hadharani kukemea ni mbunge Lusinde, pia Lazaro Nyalandu aliyekuwa kada wa Chadema alikemea hadharani na kutangaza kuachana na Chadema kwa kitendo chao cha kumtukana alipohudhuria msiba Chato.

Katikati ya mvurugano huo aliibuka rais Samia na kuwachana live Wabunge na Chadema kwa ujumla kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja na serikali yake ya awamu ya sita haijatokana na uchaguzi mbali imetokana yeye Samia kuaminiwa na hayati Magufuli na kufanywa kuwa makamu wa rais.

Kauli hii ya Samia ililifanya kundi la walinda Legacy kuibuka kidedea dhidi ya kundi la washangilia kifo hivyo nchi kutulia.

2. Wala rushwa, wazembe majambazi na mafisadi kuendelea kubanwa
Rais Samia alitangaza hadharani kwamba katika masuala ya rushwa atasimama imara na akamtumbua mkurugenzi wa bandari na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi BOT na wizara ya fedha. Pia kuwajibisha wote waliojaribu kuchezea mifumo ya Tanesco, TRA na bandari.

Hatua hizi zilifanya nchi kutulia kwa sababu watanzania wengi waliona rasilimali zao bado ziko salama kama ilivyokuwa wakati wa awamu ya tano chini ya hayati Magufuli.
 
Operesheni haki ambayo ndio mpango mpya wa Chadema kwa sasa, wenye lengo la KIZALENDO la Kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Kati...
Kweli tunahitaji watu wenye akili kubwa kama hawa kuiongoza nchi hii. Asante Kamanda Freeman Aikaeli Mbowe-Mungu Mwenyezi akulinde na kukubariki katika maisha yako yote. Umeifanyia nchi hii na watu wake kazi kubwa mno.

Hii ndiyo sababu CCM wanasemea chooni wakisikia unapita karibu yao.
 
Nyuzi zako wana bavicha na bawacha wenzio wamezisusia ila zile za diamond ndio wamejazana huko!

Hata Lema na Lisu hawana habari na ziara zenu saza hivi, wao ahenda yao kuu kwa sasa ni diamond!
 
Ukija wewe tu inatosha
 
Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara baada ya msiba mzito wa kuondokewa na rais Magufuli.

Binafsi ninazo kauli mbili ,kama na wewe unazo weka hapa.

1. Mimi na Magufuli ni kitu kimoja
Ikumbukwe mara baada ya kufariki rais Magufuli liliibuka kundi likiongozwa na Tundu Lissu na Lema likawa linashangilia kifo hicho, hali hiyo ilienea hadi kwa baadhi ya wabunge kama Nape na Makamba, badala ya kujadili bajeti wakawa wanajadili nani ni zaidi kati ya Magufuli na Samia!

Hali hiyo iliwakera sana wazalendo wa nchi yetu na rasmi likaibuka kundi jingine lililobatizwa jina la walinda legacy ya Magufuli, moja ya watu wa kundi hili waliojitokeza hadharani kukemea ni mbunge Lusinde, pia Lazaro Nyalandu aliyekuwa kada wa Chadema alikemea hadharani na kutangaza kuachana na Chadema kwa kitendo chao cha kumtukana alipohudhuria msiba Chato.

Katikati ya mvurugano huo aliibuka rais Samia na kuwachana live Wabunge na Chadema kwa ujumla kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja na serikali yake ya awamu ya sita haijatokana na uchaguzi mbali imetokana yeye Samia kuaminiwa na hayati Magufuli na kufanywa kuwa makamu wa rais.

Kauli hii ya Samia ililifanya kundi la walinda Legacy kuibuka kidedea dhidi ya kundi la washangilia kifo hivyo nchi kutulia.

2. Wala rushwa, wazembe majambazi na mafisadi kuendelea kubanwa
Rais Samia alitangaza hadharani kwamba katika masuala ya rushwa atasimama imara na akamtumbua mkurugenzi wa bandari na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi BOT na wizara ya fedha. Pia kuwajibisha wote waliojaribu kuchezea mifumo ya Tanesco, TRA na bandari.

Hatua hizi zilifanya nchi kutulia kwa sababu watanzania wengi waliona rasilimali zao bado ziko salama kama ilivyokuwa wakati wa awamu ya tano chini ya hayati Magufuli.
Hasara waliyoipata wazazi wako hakuna wa kuilipa
 
Nyanda ya Nzobhe unatapatapa.....
 
Nyuzi zako wana bavicha na bawacha wenzio wamezisusia ila zile za diamond ndio wamejazana huko!

Hata Lema na Lisu hawana habari na ziara zenu saza hivi, wao ahenda yao kuu kwa sasa ni diamond!
Huyu ni Kama wanamtegea. Wenzie washaunga mkono juhudi, wako na mama Samia. Yeye anakazania mbowe mbowe...
 
Nyuzi zako wana bavicha na bawacha wenzio wamezisusia ila zile za diamond ndio wamejazana huko!

Hata Lema na Lisu hawana habari na ziara zenu saza hivi, wao ahenda yao kuu kwa sasa ni diamond!
Kwani nawe uliunga uliunga juhudi mkono, mbona kama unateseka Sana, au ni miongoni wa 19.
 
Operesheni haki ambayo ndio mpango mpya wa Chadema kwa sasa, wenye lengo la KIZALENDO la Kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Kati.

Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe na kikosi chake wanatarajiwa kuongoza kikao cha Kimkakati cha Kanda hiyo. Ikumbukwe kwamba Mwenyekiti wa Kanda hii aliyeitwa Lazaro Nyalandu aliahamia CCM hivi karibu baada ya kuahidiwa Cheo.

Pichani : Mwamba Mwenyewe akisaini kitabu cha Wageni katika ofisi ya Kanda hiyo
Nawe una kazi ngumu! Kufuatilia mtu kila kona! Akilewa, usitueleze.
 
Back
Top Bottom