Freeman Mbowe atoa kauli ya chama juu ya kodi/tozo ya miamala ya simu na kuvurugwa kwa Kongamano la Katiba

Freeman Mbowe atoa kauli ya chama juu ya kodi/tozo ya miamala ya simu na kuvurugwa kwa Kongamano la Katiba

The Palm Tree

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
7,951
Reaction score
12,541
Tazama na sikiliza VIDEO No. 1: Msimamamo wa CHADEMA juu ya tozo za miamala ya simu:

VIDEO No. 2: Kauli ya Mwenyekiti kuhusu polisi mkoa wa Mwanza kupitia kwa RPC wao Ngh'anzi kuvuruga kongamano la katiba juzi j'

mosi tarehe 17/7/2021 na kuwaweka kizuizini viongozi, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA kinyume cha sheria na taratibu
 
Nilisema hata kwa Lissu. Kwamba kama ni hivi basi siasa ni ajira inayolipa sana kuliko zingine. Jamaa hawa hawataki kabisa kuendelea na kazi zao na tangu ujanani.

Mtu anafikisha miaka 60 ndo anagundua kuvaa kama Sandinista wa Nicaragua! Au hajui, amejivalia tu maana elimu nayo ni haba.

Posho, sawa lakini alikuwa mbunge kwa miaka yote akichukuwa posho bila kuimega kwa taifa hili. Leo hii ndo amekumbuka?
 
Wabunge wa CCM Walipe Kodi, Payee as you Earn then wajue Machungu tunayoyapata Wanyonge Sisi.
 
na mikusanyiko imezuiwa mwanza waende kwenye ko=ngamano waone virungu
 
Nilisema hata kwa Lissu. Kwamba kama ni hivi basi siasa ni ajira inayolipa sana kuliko zingine. Jamaa hawa hawataki kabisa kuendelea na kazi zao na tangu ujanani.

Mtu anafikisha miaka 60 ndo anagundua kuvaa kama Sandinista wa Nicaragua! Au hajui, amejivalia tu maana elimu nayo ni haba.

Posho, sawa lakini alikuwa mbunge kwa miaka yote akichukuwa posho bila kuimega kwa taifa hili. Leo hii ndo amekumbuka?
Huo uvaani wa red beret ameiga uvaaji wa EFF ya SA bila kujua wenzake wa EFF wameenda shule, yeye ni hapa na pale, misheni tauni.

Soon watu wa ule mtaa, utawaona wakivaa kama wanavyoagizwa na DJ. Wapinzani wamekuwa wakiiga sana hata Zitto na vitabu vyake.
 
Back
Top Bottom