The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
mwizi huyo atazisemaje anazojilipaPosho zake aliwahi kuzisemea?
Huo uvaani wa red beret ameiga uvaaji wa EFF ya SA bila kujua wenzake wa EFF wameenda shule, yeye ni hapa na pale, misheni tauni.Nilisema hata kwa Lissu. Kwamba kama ni hivi basi siasa ni ajira inayolipa sana kuliko zingine. Jamaa hawa hawataki kabisa kuendelea na kazi zao na tangu ujanani.
Mtu anafikisha miaka 60 ndo anagundua kuvaa kama Sandinista wa Nicaragua! Au hajui, amejivalia tu maana elimu nayo ni haba.
Posho, sawa lakini alikuwa mbunge kwa miaka yote akichukuwa posho bila kuimega kwa taifa hili. Leo hii ndo amekumbuka?