Freeman Mbowe: CHADEMA is simply a lifestyle!

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
14,624
Reaction score
20,666


"Asanteni sana kupeperusha Bendera ya CHADEMA kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. Hakika CHADEMA ni imani kwa wengi!! Popote tusambaze matumaini ya Tanzania ya Haki, Uhuru, Demokrasia na Maendeleo (Ustawi) kwa Watanzania wote. CHADEMA is simply a lifestyle!"
=
 
mmeshindwa kusambaza hiyo Imani potofu kwa mwambukusi kweli?
 
Haya mazingaombwe yataisha lini?
Ni upumbavu mkubwa kukimbilia kupeperusha bendera kileleni wakati huku batle ground mnawasaliti watanzania kwa kula sahani moja na wabadhirifu.
Ila kwa sababu chama lenu lina wafuasi "Ndondocha" ...basi hii nayo tayari ni kick ya siku!

Nasimama alipo Mwabukusi!
Tunapaaza Sauti ya Watanzania!
 
😀 aaahhhh kuddrrraaadrrraadrreeeek
 
Lema anapenda kurepost ktk page Zake za tweeter waisraeli kama kuwaunga mkono kuwaua waislam wa Palestina. Mwambieni aache anaharibia Chama chake
 
Mwamba tuvushe kila siku maigizo hakuna lolote mara utasikia operation sijui 2555 ujanja ujanja Tu
 


Bila chama? Ukichaa ni jambo la ajabu sana
 
Kwanin haendeshei harakati zake NCCR huko aliko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…