markp
Senior Member
- Sep 26, 2013
- 194
- 327
Watu wengi tulimwamini sana Mbowe kama anaweza kuendesha chama na hana maslahi yanyoambatana na CCM lakini huu uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA umemprove wrong kuwa haaminiki.
Hebu angalia woote walikubali Lissu agombee uraisi hii ikiwa na maana anaweza kuongoza nchi yetu vyema lakini jambo ka ajabu sana huyo huyo lissu aliyeaminiwa kuongoza nchi leo HII gafla anaonekana mropokaji na atakiua chama .
Je hi sasa inatufundisha nini ?
1: Hii ina maana muda wa uchaguzi huwa tunadanganywa tu kuweka mtu kama kivuli na Mbowe akijua wazi kuwa huyu anayewekwa anapoteza muda wake kwamba hata yeye atasimamia asipite kwa hali yoyote maana anajua hafai.
2: Hii ina maana kama si ya kwanza basi Mbowe ana maslahi yake binafsi ndani ya CCM ambayo yanamfanya ang'ang'anie kuwa mwenyekiti kwa kusema anapigiwa kura lakini ndani yake kuna UMAFIA UNATUMIKA.
3: MWISHO tuseme kwamba Mbowe anaficha kujulikana kwa maovu yake pale mtu mwingine atakapoongoza hii ina maana yupo tayari kuua au yeye kuuawa kuliko kuacha kiti akiwa hai yani anaona bora afe kwa uzee kuliko kuachia kiti.
Mimi kama mtu nayependa mabadiliko na naipenda CHADEMA toka moyoni nakushauri mbowe hata fomu usichukue utaheshimika milele.
Soma Pia:
Potelea mbali atakayeingia akikuchafua basi hakuna atakayemuamini kufanya nae kazi.