Freeman Mbowe hastahili huduma ya Balozi wa mtaa anaoishi

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Mzee Mbowe amekuwa akizunguka na Chopa huku akifurumusha matusi hadi kwa marehemu. Juzi alipokuwa Arusha aliwahadaa wale vijana wa huko kuwa Rais wa awamu ya tano aliwatesa wachagga wakati wa utawala wake.

Naomba popote anapoishi asipewe huduma yoyote ile toka kwa viongozi wetu wa shina (Balozi).

Nawasilisha
 
Mzee Mbowe amekuwa akizunguka na Chopa huku akifurumusha matusi hadi kwa marehemu.Juzi alipokuwa Arusha aliwaada wale wavuta bangi kuwa Raisi wa awamu ya tano aliwatesa wachagga wakati wa utawala wake .
Naomba popote anapoishi asipewe huduma yoyote ile toka kwa viongozi wetu wa shina (Balozi).
Nawasilisha
Mbona umeandika kama umejilevya bangi?Una uhakika hauna kazi yoyote hapo ulipo?
 
Mzee Mbowe amekuwa akizunguka na Chopa huku akifurumusha matusi hadi kwa marehemu. Juzi alipokuwa Arusha aliwahadaa wale vijana wa huko kuwa Rais wa awamu ya tano aliwatesa wachagga wakati wa utawala wake.

Naomba popote anapoishi asipewe huduma yoyote ile toka kwa viongozi wetu wa shina (Balozi).

Nawasilisha
Basi ni hilo tu au umesahau mengine, sasa tuandikie cha kujadili leo na kesho.
 
Mada za wadanganyika! Phew!!!!!
Najuta kuwa mtanzania, bora ningezaliwa mbwa Kenya.
 
Mzee Mbowe amekuwa akizunguka na Chopa huku akifurumusha matusi hadi kwa marehemu. Juzi alipokuwa Arusha aliwahadaa wale vijana wa huko kuwa Rais wa awamu ya tano aliwatesa wachagga wakati wa utawala wake.

Naomba popote anapoishi asipewe huduma yoyote ile toka kwa viongozi wetu wa shina (Balozi).

Nawasilisha
Kwa taarifa yako balozi wa nyumba kumi ni kiongozi wa CCM kwenye eneo lake. Huo ni utaratibu wa CCM siyo utaratibu wa serikali. Kiongozi wa serikali wa kuchaguliwa wa chini kabisa ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa kwa mjini au mwenyekiti wa kitongoji kwa vijijini. Viongozi hawa kwa mujibu wa sheria hawaruhusiwi kutoa huduma kwa wananchi katika maeneo yao kwa kuangalia itikadi ya chama anachotoka.
 
Kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania Mjumbe wa shina au balozi wa nyumba 10, Hana Mamlaka yoyote kwenye jambo lolote popote kwenye Nchi ya Tanzania, Zaidi wanatumika na ccm kwa ajili ya kubeba hirizi za wagombea ubunge na udiwani wa ccm
 
Kwa taarifa yako balozi wa nyumba kumi ni kiongozi wa CCM kwenye eneo lake. Huo ni utaratibu wa CCM siyo utaratibu wa serikali. Kiongozi wa serikali wa kuchaguliwa wa chini kabisa ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa kwa mjini au mwenyekiti wa kitongoji kwa vijijini. Viongozi hawa kwa mujibu wa sheria hawaruhusiwi kutoa huduma kwa wananchi katika maeneo yao kwa kuangalia itikadi ya chama anachotoka.
Aliyepost thread ni mlevi nadhani. Maana hajui hata nyadhifa za viongozi kwenye mtaa wake. Kwani lazima uje jukwaani kama bado una hang over?
 
Mzee Mbowe amekuwa akizunguka na Chopa huku akifurumusha matusi hadi kwa marehemu. Juzi alipokuwa Arusha aliwahadaa wale vijana wa huko kuwa Rais wa awamu ya tano aliwatesa wachagga wakati wa utawala wake.

Naomba popote anapoishi asipewe huduma yoyote ile toka kwa viongozi wetu wa shina (Balozi).

Nawasilisha
Ila FAM masisiemu kayashika papaya sana yanalala kumuota siku akiamua kuja kula minyama huko kwenu simnaweza kumkabidhi nchi na chama chenu awaongoze kabisa ukiona mbaya wako milio mingi piga hapo hapo najua Rev njaa mtamutumia na yatapita kama walivuka kipindi chakumpokea ENL labda mkubaliane mfute vyama vingi mana hata mkitaka kukifuta CDM watawashinda mahakamani kina Kibatala so endeleeni kucheza mziki
 
Back
Top Bottom