Freeman Mbowe kashindwa Kwa 1% tu lakini hajalalamika wala kukata Rufaa, Kenya na Zanzibar Ushindi wa namna hii umewahi kuleta Vurugu!

Freeman Mbowe kashindwa Kwa 1% tu lakini hajalalamika wala kukata Rufaa, Kenya na Zanzibar Ushindi wa namna hii umewahi kuleta Vurugu!

51% vs 49% ni ushindi mwembamba sana ambao ulimfanya mchungaji Msigwa akimbilie CCM kujisalimisha

Lakini Freeman Mbowe amekubali na kumpongeza mshindi Tundu Lisu

Ni Ukomavu wa kisiasa Uliotukuka

Mlale Unono 😀
Wafundishe vijana kuandika mambo kwa ufupi na kueleweka kama hivi.
 
Amesoma alama za nyakati, ila team Mbowe wametuweza kweli yaani kwenda kupiga kura bila simu ndio lilikuwa pigo la mwamba wetu .
 
Back
Top Bottom