Freeman Mbowe:"Katiba Mpya Sio Ombi tena ni Lazima, CCM Wapende Wasipende".

Freeman Mbowe:"Katiba Mpya Sio Ombi tena ni Lazima, CCM Wapende Wasipende".

Kasema swala la katiba mpya sio " leisure" ya CCM na hakutakuwa na amani bila katiba mpya.Tena kaongea kwa msisitizo huku akigonga meza kwa nguvu!
 
Kasema swala la katiba mpya sio " leisure" ya CCM na hakutakuwa na amani bila katiba mpya.Tena kaongea kwa msisitizo huku akigonga meza kwa nguvu!

Pwahahahahaah! umeonaee... Mie nawasubiri Magamba Waje na Ubishi wao hapa... Utawasikia Wakisema Aaa Wapi Uongo hajasema hayo!
 
Nimeona ITV....

Kauli ya Mbowe Imeshiba Kujiamini na Busara za ajabu.....

Ni kauli yenye kuhamasisha na kukupa ari mpya...

Ni kauli ya kishujaaa......

Ni kauli ya Kinabii......

Hakika Katiba Mpya itapatika hata iweje...
 
namkubali na namuunga nkono mweshimiwa mbowe....go chadema
 
Kweli bana;KATIBA KWANZA yenye kujal maslahi ya WATANZANIA wote.
 
Alichosema Mbowe ndo msimamo wa Watanzania wenye nia njema na nchi hii!

Ni aidha Katiba mpya ipatikane ama pachimbike tena sana!

Msimamo huo wa Mbowe ndio msimamo wa wengi!

Wanaopinga ama kukataa alichosema Mbowe ni wahafidhina, maadui na wasaliti wa Taifa letu!

Kikwete epusha Taifa na machafuko maana Katiba isipopatikana basi ujue hapatakalika!

CCM isiwaamulie Watanzania nini cha kufanya na hatma ya maisha yao!
 
Back
Top Bottom