Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Mbowe is still Alive I saw him in few days a goMpak sasa haijulikan kama Mbowe yupo hai au amekufa , the guy is silent more than two months sasa
Usinichekeshe ,nusu yamshahara yakwake..wabongo kiboko ,kweli mbowe awe wakuchukua kamishenwabunge 19 ni mchongo wa mbowe, anachukua chake kwa kila kichwa.
Gharama za bando zimepanda kwa hiyo kikao cha online hakiwezekani, na kikao cha ana kwa ana hakiwezekani kwa sababu chama hakina fedha. Kipeni chama muda ili kijipange vizuri, nadhani ruzuku kutokana na hao 19 + 1 itakisaidia sana chama.Basi fanya hima kuitisha kikao hata online,ili hukumu ya rufaa ya wanawake hawa iwe dhahiri.
Mbona Lissu hajauliza!!! Lissu ana contacts ubalozi wa Marekani, hospitali ya Nairobi, na TISS; angekuwa keshainyaka hii!!Mpak sasa haijulikan kama Mbowe yupo hai au amekufa , the guy is silent more than two months sasa
Alishajibu hili swali, uliza jingine kama nia yako ni njema. Walishafukuzwa, wakakataa rufaa, vuta subiraMheshimiwa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA taifa.
Popote ulipo nakusihi ufahamu kuwa kimya hiki kwenye suala la wabunge 19 ni bomu linalosubiria kulipuka ndani ya chama.
Basi fanya hima kuitisha kikao hata online,ili hukumu ya rufaa ya wanawake hawa iwe dhahiri.
Kila la kheri.
Mheshimiwa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA taifa.
Popote ulipo nakusihi ufahamu kuwa kimya hiki kwenye suala la wabunge 19 ni bomu linalosubiria kulipuka ndani ya chama.
Basi fanya hima kuitisha kikao hata online,ili hukumu ya rufaa ya wanawake hawa iwe dhahiri.
Kila la kheri.
Kwa hiyo?Mbowe msela yule na ndiye mwenye akili nyingi kuliko wote huko Chadema licha ya kupata division zero form six, bila mbowe hakuna kitu kinachoitwa chadema believe me.