Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa kutoka Chadema inaonyesha kwamba Mwamba wa siasa za Tanzania Gwiji Freeman Mbowe anarejea nyumbani kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, kwa mara ya kwanza Jumamosi 19/03/2022, baada ya kushikiliwa gerezani kwa miezi 8 mfululizo, kwa tuhuma za uongo za Ugaidi.
Ratiba ya ujio wake Jimboni humo inaeleza kwamba Jumapili tarehe 20/03/2022, atatoa SADAKA MAALUM kwenye misa itakayofanyika kwenye Kanisa la KKKT Nshala Machame.
Tayari Moto wa Maandalizi ya Mapokezi yake umeanza kuwaka.