Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
AminaJambo jema kumshukuru MUNGU wa mbinguni kwa maovu aliyotendewa na utawala dhalimu wa CCM
SawaAmina
zitaambatana na mapokezi ya MboweJumamosi kuna sherehe za kiserikali nchi nzima!
Jumamosi kuna sherehe za kiserikali nchi nzima!
kabisa yaani !Kila mtu ashinde mechi zake.
Kkkt hawana misa, wana ibada zao ila sio misaTaarifa kutoka Chadema inaonyesha kwamba Mwamba wa siasa za Tanzania Gwiji Freeman Mbowe anarejea nyumbani kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, kwa mara ya kwanza Jumamosi 19/03/2022, baada ya kushikiliwa gerezani kwa miezi 8 mfululizo, kwa tuhuma za uongo za Ugaidi.
Ratiba ya ujio wake Jimboni humo inaeleza kwamba Jumapili tarehe 20/03/2022, atatoa SADAKA MAALUM kwenye misa itakayofanyika kwenye Kanisa la KKKT Nshala Machame.
Tayari Moto wa Maandalizi ya Mapokezi yake umeanza kuwaka.
View attachment 2150197
GAIDI hadi atakapo jitetea baada ya kupatikana na kesi ya kujibu kutokana na ushahidi uliotolewaTaarifa kutoka Chadema inaonyesha kwamba Mwamba wa siasa za Tanzania Gwiji Freeman Mbowe anarejea nyumbani kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, kwa mara ya kwanza Jumamosi 19/03/2022, baada ya kushikiliwa gerezani kwa miezi 8 mfululizo, kwa tuhuma za uongo za Ugaidi.
Ratiba ya ujio wake Jimboni humo inaeleza kwamba Jumapili tarehe 20/03/2022, atatoa SADAKA MAALUM kwenye misa itakayofanyika kwenye Kanisa la KKKT Nshala Machame.
Tayari Moto wa Maandalizi ya Mapokezi yake umeanza kuwaka.
View attachment 2150197
kati yako Wewe na Hangaya nani anaweza kutueleza ukweli ?GAIDI hadi atakapo jitetea baada ya kupatikana na kesi ya kujibu kutokana na ushahidi uliotolewa
Mie sichangii namba ya NIDA na mtu yeyote. Tafadhali sana mkuukati yako Wewe na Hangaya nani anaweza kutueleza ukweli ?
Just like his name, he is a Freeman!!Taarifa kutoka Chadema inaonyesha kwamba Mwamba wa siasa za Tanzania Gwiji Freeman Mbowe anarejea nyumbani kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, kwa mara ya kwanza Jumamosi 19/03/2022, baada ya kushikiliwa gerezani kwa miezi 8 mfululizo, kwa tuhuma za uongo za Ugaidi.
Ratiba ya ujio wake Jimboni humo inaeleza kwamba Jumapili tarehe 20/03/2022, atatoa SADAKA MAALUM kwenye misa itakayofanyika kwenye Kanisa la KKKT Nshala Machame.
Tayari Moto wa Maandalizi ya Mapokezi yake umeanza kuwaka.
View attachment 2150197
Juzi ameomba msamaha eti 😃 Ila hasemi alifanya nini lakini akaomba msamahaYule mbunge wa CCM wa Hai sasaiv anambwerambwera tu
Mungu ibariki CHADEMATaarifa kutoka Chadema inaonyesha kwamba Mwamba wa siasa za Tanzania Gwiji Freeman Mbowe anarejea nyumbani kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, kwa mara ya kwanza Jumamosi 19/03/2022, baada ya kushikiliwa gerezani kwa miezi 8 mfululizo, kwa tuhuma za uongo za Ugaidi.
Ratiba ya ujio wake Jimboni humo inaeleza kwamba Jumapili tarehe 20/03/2022, atatoa SADAKA MAALUM kwenye misa itakayofanyika kwenye Kanisa la KKKT Nshala Machame.
Tayari Moto wa Maandalizi ya Mapokezi yake umeanza kuwaka.
View attachment 2150197
Umemjibu vemazitaambatana na mapokezi ya Mbowe