Hawa wawili Watakumbukwa kwa historia Moja ambayo ni kushinikizwa na wandani wao Ili "kuokoa mustakabali wa vyama vyao",
Biden alikubali, chama kikapigwa hata kabla jua halijachwa. Democrats hiyooo, na Kamala wake ikala mzinga.
Sasa ni zamu ya Mbowe aka MWAMBA aka DIPLOMAT, atafuata ya Biden, au atabaki kuwa MWAMBA?
Yajayo yatafurahisha ama kusikitisha.