Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 298
- 600
Alipokubali kushindwa uchaguzi wa uraisi mwaka 2005, akiwa nafsi ya tatu na kwenda kukijenga chama, uungwana wake uliigusa Sheria ya asili na kumpandisha kutoka mwenyekiti wa chama cha siasa cha kawaida mpaka kuwa mwenyekiti wa chama kikuu cha siasa cha upinzani yaani kwa kifupi ndio mkuu wa upinzani mwaka 2005 mpaka 2025,
Sasa kwa tukio hili la Leo ameigusa tena Sheria ya asili, inakwenda kumuinua kutoka kua kiongozi mkuu wa upinzani mpaka kua kiongozi mkuu wa nchi.
Amevuka vizingiti vya kila namna ameonyesha ukomavu, ni mlezi Bora ni kiongozi ni mwanademokrasia Makini ni mtu aliyedhamiria kujua njia, kuiendea njia na kuionyesha njia hakika amefanikiea na Mungu amemuwezesha.
Sheria ya asili tayari inapiga kelele na kibali cha kupanda ngazi zaidi kwake kinang'aa kuliko mwanasiasa yeyote, anakwenda kuchukua Ile title ya baba wa demokrasia ambayo Jakaya aliishindwa.
Historia itamkumbuka Freeman Aikaeli Mbowe kama The Game Changer wa Siasa Za Tanzania.
Mungu ibariki Demokrasia, Mungu ibariki Tanzania.