Freeman Mbowe mwanasiasa, mfanyabiashara na mkulima asiyeogopa hasara

Mbowe ni kiongozi!
 
Mbowe Freeman ni sawa na nyuki wanakofanya kazi kubwa kutengeneza ASALI,inapokuwa tayari binadamu huja kuchukua yote na kuitumia.

Nyuki walipoulizwa wakajibu, kuwa "binadamu wanaweza kuchukua ASALI, lakini hawezi kuiba maarifa knowledge know how ya kutengeneza ASALI, ndo maana kila kukicha nyuki hutengeneza asali na binadamu hawaachi kuchukua na nyuki anatengeneza tu asali.
 
Safi cv iliyoshiba kabisa anafaa kuwa Rais wa nchi hii anamaono makubwa sana siku tukifanikiwa kumpa nafasi hii hatajuta
 
 
Safi cv iliyoshiba kabisa anafaa kuwa Rais wa nchi hii anamaono makubwa sana siku tukifanikiwa kumpa nafasi hii hatajuta
Mwambieni aweke cheti cha form 4 hapa ndio mtajua kuwa hamjui
 
Staili yake ya pekee ya kutumia usafiri wa Helicopter na muasisi staili na aina hiyo katika kampeni za 2005 na vazi lake gwanda la kaki zilivutia sana na kumfanya yeye na CHADEMA kujulikana sana nchi nzima.
Yeah, hii ilivuma sana! Kijana wangu akiwa na miaka miwili kipindi hicho, kila akisikia muungurumo wa ndege unasikia anatoka mbio huku akiita Mbowe, Mbowe, Mbowe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…