Freeman Mbowe nakudediket wimbo wa Michael Jackson You not alone

Ule ni wimbo wa mwanaume kumchombeza mwanamke na sio wa mwanaume kifariji mwanaume mwenzake. Loooh umeamua kumchombeza bwana mbowe?!

Bora hata ungemsindikiza na wimbo they don't care about us!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unadhani hayo unayajua peke yako lengo langu ni kumtia moyo mbowe hayuko peke yake kamwe na hatakuwa peke yake.
 
Ndio nakwambia kwa ujumbe wa wimbo hilo umefeli maana wimbo ni wa mapenzi. Umesikiliza au kusoma mashairi ya ule wimbo au umetazama biti?!

Nyie ndio huwa mnapiga nyimbo za maombolezo kwenye maharusi ili bwana na bibi harusi wacheze bluzi...... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh mbowe Sina zawadi ya kukupa Ila kwa upendo mkubwa Sana Mimi na familia yangu tulionao kwako tunakupa zawadi ya wimbo wa MICHAEL JACKSON ; YOU ARE NOT ALONE. Barikiwa.
Wewe na familia yako mnarikiwe sana na Bwana. Bwana Mungu wa Israel
 
Mh mbowe Sina zawadi ya kukupa Ila kwa upendo mkubwa Sana Mimi na familia yangu tulionao kwako tunakupa zawadi ya wimbo wa MICHAEL JACKSON ; YOU ARE NOT ALONE. Barikiwa.
Na sisi wana Liverpool tunamwambia..."you ll never walk alone"
 
Serikali ijue wananchi wanaotaka mabadiriko ni wengi kuliko wasio taka, na ijue matendo yake yanawafanya wananchi watafute namna ingine ya kuact.

Ijiandae, ipo siku wananchi watachagua options hatarishi.
 
Mwanamme wa kweli hadediketi wimbo wewe.

Maumau wangedediketi nyimbo tungekuwa wapi?

Hebu jipake pake marangi uende ghetto lake alipo kwa sasa ki Rambo Rambo uamshe dude ukomboe taifa.
 
Ndio nakwambia kwa ujumbe wa wimbo hilo umefeli maana wimbo ni wa mapenzi. Umesikiliza au kusoma mashairi ya ule wimbo au umetazama biti?!

Nyie ndio huwa mnapiga nyimbo za maombolezo kwenye maharusi ili bwana na bibi harusi wacheze bluzi...... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu mpe title ya movie la kibabe apate hint afanyeje kama kidume sio tunyimbo twa kidenzi twa kuombea papuchi.
 
Mwanamme wa kweli hadediketi wimbo wewe.

Maumau wangedediketi nyimbo tungekuwa wapi?

Hebu jipake pake marangi uende ghetto lake alipo kwa sasa ki Rambo Rambo uamshe dude ukomboe taifa.
Mna ID zinazoheshimika jf Ila mnaandika utumbo contrary to the way we believe who you are.
 
Back
Top Bottom