Freeman Mbowe ni G.O.A.T, kathibitisha amejenga Chama Cha Demokrasia, apewe maua yake

Freeman Mbowe ni G.O.A.T, kathibitisha amejenga Chama Cha Demokrasia, apewe maua yake

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
576
Reaction score
876
Niwapongeze CHADEMA kwa kufanya Credible,Free and Fair Election ambayo ni Funzo kubwa sana kwa nchi yetu na nimpongeze Lissu kwa kushinda na Mbowe kwa kukubali kushindwa.

Lakini kipekee nimpongeze Mbowe kwa kujenga Taasisi ya CHADEMA na kumaliza kipindi chake kwa kuionyesha Dunia maana ya Demokrasia na namna alivyojenga Chama cha Kidemokrasia.

Uamuzi wa Mbowe kugombea ulikuwa na maana kubwa katika kuonyesha Ulimwengu kazi kubwa aliyoifanya na maana ya Demokrasia ya kweli, asingegombea asingetoa funzo hili kwa nchi na Dunia.

Hongera sana Freeman kwangu wewe ndiyo Mwanasiasa wangu bora wa Karne hii.

Pia soma - Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

I wish you all the best.
 
Back
Top Bottom