Freeman Mbowe nje ya Utumishi wa Umma alianza kumiliki kikundi Cha Burudani ( Disco) na Sasa ni Mkuu wa Upinzani nchini!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tupo Hapa Mwananyamala Komakoma kwa Baharia Mani opposite na alipokuwa anaishi Makongoro Nyerere tukijadili Siasa za Nchi yetu

Kwa hakika Kati yetu Hakuna aliyewahi kufikiria Freeman atakuja Kuwa Mwanasiasa achilia Kuwa Kiongozi wa Chama kikuu Cha Upinzani

Tunajiuliza huyu Freeman Mbowe alitumia Mbinu gani kuwaingiza CHADEMA Mawaziri Wakuu wastaafu wawili Sumaye na Lowassa kwa wakati mmoja?!!

Kimsingi tunakubaliana Freeman ni Mwanasiasa mwenye maajabu yake nchini

Kama uko mitaa hii karibu upate kahawa tunamsubiri Meya Songoro

Baadae Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€
 
Dj huyo, mzee wa DEAL
 
familia ya mboye ni politics kitambo kwanzia uhuru unapambaniwa "ukiona vyaelea ujie vimeundwa" hata huyo mboye babake wa ubatizo si nyerere hapo kwenye mambo ya disco ilikuwa kujitafuta tu
 
Historia ya Mbowe inafanana na ile ya waziri mkuu wa Ufaransa, rais wa Ukraine, Trump au hata waziri mkuu flani wa Uingereza. Watu wa namna wana akili na ushawishi mkubwa.
 
Vile hujui historia ya familia yao, kabla yeye baba yake alikuwa kwenye siasa
 
Mbowe asingekuwa na msimamo angeshanunuliwa kama Viongozi wa vyama vingine. Wana CCM waungane naye kuunda muungano kama wa Ruto na Kashagwa ili washinde Uongozi wa Nchi yetu na kuiongoza vizuri na usalama imara kwa raia wake.
 
Kazi unayofanya huko sasa imekuwa ngumu, ndiyo maana hii ya mihangaiko inajitokeza.
Wewe sasa nimekutambuwa kwa jinsi ulivyo.
Huko siku za nyuma nilidhani ni mtu tu asiyekuwa na hili wala lile.

Hata kama CCM ikipona safari hii, takataka kama hizi mlivyo nyenyi ni lazima iachane nazo.
 
Na makam mwenyekiti aliejiuzulu!!?

Siyo kwamba ni jangili kabisa!!?
 
Msingi wakisiasa wa mbowe, ni marehemu baba yake

Unamshangaa mbowe
MFATILIE,mcheza dance SAVIMBI
 
Historia ya Mbowe inafanana na ile ya waziri mkuu wa Ufaransa, rais wa Ukraine, Trump au hata waziri mkuu flani wa Uingereza. Watu wa namna wana akili na ushawishi mkubwa.
Na rais wa Madagascar
 
Historia ya Mbowe inafanana na ile ya waziri mkuu wa Ufaransa, rais wa Ukraine, Trump au hata waziri mkuu flani wa Uingereza. Watu wa namna wana akili na ushawishi mkubwa.
Hata Andry Rajoelina rais wa Madgascar ni DJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…