Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Hakuna ubishi kua Mapigo anayopitia Mhe Freeman Mbowe hayana tofauti na waasisi wa mataifa mbali mbali nyakati za tawala za kikoloni.
Mbowe yupo gerezani akisubiri hukumu ya kesi ambayo nchi nzima inajua na dunia nzima inajua kua ni ya kutengeneza ili kumsotesha bure mwanasiasa huyu mkongwe Tanzania kufifisha nguvu ya upinzani nchini kuiruhusu CCM itawale.
Wakoloni walifanya haya matendo lakini mataifa husika yalijikomboa.
Niongee ukweli wa nafsi yangu ni kwamba Mhe Mbowe anahitaji tuzo ya heshima au Nobel. Mateso anayopitia mwanasiasa huyu ni wanasiasa wachache sana Afrika ya sasa akiwemo Rais wa sasa ndugu Hakainde Hichilema aliyefungwa miaka 4 jela na hasimu wake wa kisiasa Rais aliyepita Edgar Lungu kwa makosa ya kubumba.
CCM wasifikiri maisha ya kutumia dola kutawala yana muda mrefu hivi sasa. Naamini mateso ya Mbowe yana kitu ndani yake, ni muda tu utazungumzia.
CCM walipora uchaguzi serikali za mitaa vijiji na mitaa yote 2019, haikutosha 2020 wakajipitisha kwa kile kinachoitwa kupita bila kupongwa, wakawaka Makada wao NEC.Matokeo yake tuna wawakilishi wa ajabu ajabu hivi sasa, siyo choice za wananchi.
Msikilize Freeman Mbowe hapa.