Freeman Mbowe tumia msiba huu wa mzee Ally kuinvoke Peoples power ili kumpata Deusdedit Soka wakiwa hai kabla haijawa too late

Kiukweli huyu jamaa hafai kuwa mwenyekiti wa chama kinachojiiita peoples power.....kama hawezi kuwongoza hao people kutumia hiyo power....hawa watesi wameshaona hakuna wa kuwafanya kitu....lakini na sisi pia tumieishakubali kuwa mbuzi wa kafara..... kusubiri sijui nani atusemee tutaisha....vipi kama na yeye anahusika??? Atatusaidia kweli?
 
Toka mbowe aruhusu Lowassa agombee urais kwa kupitia Chadema sijawahi kumuamini tena as ilikuwa clear chance kwa kupitia Dr. Slaa mtanange ungekuwa mzito sana. Now wanaosemaga Mbowe anakula na CCM nawaamini asilimia 100%
 
Tulianzishe huku kitaa itakuwa rahisi kwa Mbowe na CHADEMA kuendesha mambo levo ya kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…