SimjuiKwani muasisi wa yote hayo ni nani?
Duh kumbe mbowe ndo ameua watu 🙌 mbowe mbaya sana huyu mzee aisee achukuliwe hatua za kisheriaWewe Mbowe unaanza kuwa mjinga sorry to say this
Hukuwa na haja yoyote kuingiza Chama kwenye huu uchaguzi ambao kila ishara ilishaonesha ujinga. Sasa tazama umeua watu bila sababu
Tulia wewe UWTLissu alikuwa anahamasisha chadema "wachukue hatua kama watakavyoona" Cha qjabu yeye hachukui hatua hizo, anajaza ujinga watoto wa wenzake wanaumizana
Bawacha mnaendeleaje?Tulia wewe UWT
Haya tuyatarajie tena sana hadi pale walio wengi watakapochoka kwa ndugu zao kutekwa,kuteswa na kuuawa kipumbavu watakapoamua sasa kuchukua silaha mikononi na kuingia uwanja vita hapo tutaheshikiana sana sana.Tunapofunga vituo vya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taifa limeendelea kushuhudia tena ubaradhuli wa wazi na wa aibu toka kwa mamlaka zote za Serikali kushirikiana kuipatia CCM na wagombea wake ushindi wa aibu hata kwa gharama za maisha ya Watanzania.
Tunalaani mauaji na kujeruhiwa kwa wagombea, viongozi na wanachama wetu mbalimbali wakiwemo:
1) Steven Chalamila wa Jimbo la Tunduma aliyevamiwa na kukatwakatwa mapanga kikatili hadi umauti kumkuta.
2) Modestus Timbisimilwa, Mgombea nafasi ya Ujumbe wa Serikali ya Mtaa wa Ulongoni A, Kata ya Gongolamboto, Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam aliyeuwawa na askari kwa kupigwa risasi wakati wa purukushani za kuzuia kura bandia na batili kuingizwa kituo cha kupiga kura.
3)George Juma Mohammed wa Kitongoji cha Stand Kata ya Mkwese Jimbo la Manyoni Mkoani Singida aliyevamiwa nyumbani kwake na watu waliofahamika kuwa askari na kumpiga risasi iliyomsababishia umauti.
Aidha, tuna taarifa kadhaa za kujeruhiwa na kukamatwa na Polisi viongozi, wagombea, wanachama na wapenzi wetu maeneo mbalimbali ya nchi walipokuwa wakijitahidi kukamata na kuzuia kuingizwa vituoni kura bandia na batili zilizopigwa tayari kuwabeba wagombea wa CCM.
Tunataka watu wetu hawa waachiwe haraka na bila masharti yeyote.
Tunaendelea kuwasiliana na Chama kitatoa tamko rasmi zoezi hili likikamilika.
Tunaamini kinachofanyika kina maagizo na baraka zote za @SuluhuSamia na Serikali yake na au nchi iko kwenye "autopilot" na yeyote katika eneo lake ana mamlaka ya kunajisi uchaguzi anavyotaka kwani tayari wamepewa kinga na Kanuni ya 49 ya Kanuni za Uchaguzi wa Viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Ngazi ya Vijiji, Vitongoji na Mitaa inayosema, nanukuu:
"Msimamizi wa Uchaguzi, Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, Msimamizi wa Kituo, Wajumbe wa Kamati ya Rufani au mtumishi yeyote wa Umma aliyehusika na usimamizi wa uchaguzi hatowajibika kwa Jinai au Madai au kuchukuliwa kwa hatua za kinidhamu au za kiutawala kwa jambo lolote alilolifanya au kuacha kulifanya kwa nia njema wakati wa kutekeleza majukumu yake chini ya Kanuni hizi". Mwisho wa kunukuu.
Hakika Taifa lina Msiba mwingine!!
ni muhimu zaidi pia kulaani vikali zaidi wale wote wakijaribu kuvuruga uchaguzi maeneo mballimbali nchini 🐒Tunapofunga vituo vya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taifa limeendelea kushuhudia tena ubaradhuli wa wazi na wa aibu toka kwa mamlaka zote za Serikali kushirikiana kuipatia CCM na wagombea wake ushindi wa aibu hata kwa gharama za maisha ya Watanzania.
Tunalaani mauaji na kujeruhiwa kwa wagombea, viongozi na wanachama wetu mbalimbali wakiwemo:
1) Steven Chalamila wa Jimbo la Tunduma aliyevamiwa na kukatwakatwa mapanga kikatili hadi umauti kumkuta.
2) Modestus Timbisimilwa, Mgombea nafasi ya Ujumbe wa Serikali ya Mtaa wa Ulongoni A, Kata ya Gongolamboto, Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam aliyeuwawa na askari kwa kupigwa risasi wakati wa purukushani za kuzuia kura bandia na batili kuingizwa kituo cha kupiga kura.
3)George Juma Mohammed wa Kitongoji cha Stand Kata ya Mkwese Jimbo la Manyoni Mkoani Singida aliyevamiwa nyumbani kwake na watu waliofahamika kuwa askari na kumpiga risasi iliyomsababishia umauti.
Aidha, tuna taarifa kadhaa za kujeruhiwa na kukamatwa na Polisi viongozi, wagombea, wanachama na wapenzi wetu maeneo mbalimbali ya nchi walipokuwa wakijitahidi kukamata na kuzuia kuingizwa vituoni kura bandia na batili zilizopigwa tayari kuwabeba wagombea wa CCM.
Tunataka watu wetu hawa waachiwe haraka na bila masharti yeyote.
Tunaendelea kuwasiliana na Chama kitatoa tamko rasmi zoezi hili likikamilika.
Tunaamini kinachofanyika kina maagizo na baraka zote za @SuluhuSamia na Serikali yake na au nchi iko kwenye "autopilot" na yeyote katika eneo lake ana mamlaka ya kunajisi uchaguzi anavyotaka kwani tayari wamepewa kinga na Kanuni ya 49 ya Kanuni za Uchaguzi wa Viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Ngazi ya Vijiji, Vitongoji na Mitaa inayosema, nanukuu:
"Msimamizi wa Uchaguzi, Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, Msimamizi wa Kituo, Wajumbe wa Kamati ya Rufani au mtumishi yeyote wa Umma aliyehusika na usimamizi wa uchaguzi hatowajibika kwa Jinai au Madai au kuchukuliwa kwa hatua za kinidhamu au za kiutawala kwa jambo lolote alilolifanya au kuacha kulifanya kwa nia njema wakati wa kutekeleza majukumu yake chini ya Kanuni hizi". Mwisho wa kunukuu.
Hakika Taifa lina Msiba mwingine!!
Wakiwemo na waliokuwa wanaingiza kura bandia za CCM? Au hiyo siyo kuvuruga uchaguzi?ni muhimu zaidi pia kulaani vikali zaidi wale wote wakijaribu kuvuruga uchaguzi maeneo mballimbali nchini 🐒
muhimu zaidi kuwalaani wale ambao hawakujiandikisha halafu wanataka kushinda uchaguzi.Wakiwemo na waliokuwa wanaingiza kura bandia za CCM? Au hiyo siyo kuvuruga uchaguzi?
Kinga kwake inahusu "NIA NJEMA" inayo tajwa katika sheria iliyo tungwa maksudi kabisa kuwawekea kinga waharifu hawa.Kwamba hata huyo askari polisi aliyeua raia mwema aliyekuwa anazuia kura bandia kuingizwa kituo cha kupiga kura, na yeye hawezi kushtakiwa?!!
Kama ndivyo, basi nchi imerejea rasmi kwenye ukoloni
Ndiye huyo jiweSimjui
Tunapofunga vituo vya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taifa limeendelea kushuhudia tena ubaradhuli wa wazi na wa aibu toka kwa mamlaka zote za Serikali kushirikiana kuipatia CCM na wagombea wake ushindi wa aibu hata kwa gharama za maisha ya Watanzania.