Freeman Mbowe vs Nelson Mandela "Rivonia Trial"

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776

Kesi ya Freeman Mbowe ni ya ki historia, imetengenezwa faili kabla hata ya kukamatwa, imefunguliwa jalada huku wakiwaza afunguliwe shitaka la kummaliza.​

Inasemekeana Lissu na Mbowe ni threat, sijui na haina uhakika, ni story tu za ma-bavicha.

Mbowe alikuwa mbele ya jaji SIYANI ambaye alipokea vielelezo vyote 10 ambavyo havikupaswa kupoklewa, ghafla SIYANI alipandishwa cheo kuwa JAJI KIONGOZI.

Baada ya muda kidogo TIGANGA akaingizwa naye akavaa viatu vya SIYANI, amekutwa na kesi ya kujibu, maajabu ya dunia.

USHAURI KWA MBOWE NA KIBATALA:
Kesi itacheleweshwa sana na ma- STSTE ATTORNEY, itaisha 2023 na hukumu 2024 ambapo "mwamba atapigwa MVUA" , Mahakama ya rufaa kesi itamalizika 2027 kwa "mwamba" kuachiwa huru huku akiwa dhoofu na vijana wamemsahau mtaani!

Lissu ameingizwa mkenge na HANGAYA, wakatabasamu, HANGAYA akenda kwa mabebebru na akawahakikishia yupo pamoja na wapinzani. Mabeberu wametoa mkopo, sasa habari ya Lissu kwisha.

MBOWE akatae mawakili wake, akipewa nafasi ya kujitetea atoe REVONIA SPEECH , aelezee chaguzi zote na kukamatwa kwake, kupotea kwa watu wote na madhila yote na ahakikishe yote yanaandikwa then AMUACHIE TIGANGA aandike hukumu, hilo tu

Mandela's statement​

Mandela declined to give evidence in his defence, but chose instead to make a statement from the dock, highlighting his grievances, outlining his politics and explaining his ideals. The statement took three hours to deliver and is considered a pivotal moment in the history of the development of South African democracy. In it Mandela took pains to deny accusations that he was a communist, or that he regarded the Western parliamentary system as undemocratic.

‘On the contrary, I am an admirer of such a system ... The Magna Carta, the Petition of Rights [sic] and the Bill of Rights are documents which are held in veneration by democrats throughout the world.’

Mandela's reference to Magna Carta, with reference to the British parliamentary and legal systems, purposefully aligned him with the ideals of Western liberal democracy. The whole tenor of the statement promoted a free society within a constitutional democracy, while at the same time using Magna Carta to challenge the authoritarian practices of the apartheid regime.

The Rivonia trial, as it became known, concluded on 11 June 1964. Mandela, together with seven others, was convicted and sentenced to life imprisonment. He served a further 27 years before being released in 1990, and was subsequently elected President of South Africa (1994–99).
 
Hivyo iwekwe kwenye Mitaala ya Elimu
 
Mbowe gaidi anafungwa na Lissu ndiyo anakuja kuwa mwenyekiti Chadema ambaye tayari keshakuwa CCM B
 
Kuna kitu sijaelewa kwenye andiko lako, sidhani kama Lissu ameingia mkenge, kama Lissu angenyamaza baada ya kukutana na Hangaya labda ungekuwa na hoja. Lakini Kitendo cha Lissu kutoka hadharani na kufumua ukweli kimeua huo unaoitwa Mkenge
 
Lissu kaingia mkenge, kama si kupiga picha na HANGAYA ule mkopo kandamizi usingepatikana, ule mko[o unahusu matajiri tu, ni kama daraja la oysterbay wanakokaa matajiri wanapita bure wakati kigamboni kwa maskini wanalipia kila uchao.
 
Kesi ya Freeman Mbowe ni ya ki historia, imetengenezwa faili kabla hata ya kukamatwa, imefunguliwa jalada huku wakiwaza afunguliwe shitaka la kummaliza.​

Inasemekeana Lissu na Mbowe ni threat, sijui na haina uhakika, ni story tu za ma-bavicha.

Mbowe alikuwa mbele ya jaji SIYANI ambaye alipokea vielelezo vyote 10 ambavyo havikupaswa kupoklewa, ghafla SIYANI alipandishwa cheo kuwa JAJI KIONGOZI.

Baada ya muda kidogo TIGANGA akaingizwa naye akavaa viatu vya SIYANI, amekutwa na kesi ya kujibu, maajabu ya dunia.

USHAURI KWA MBOWE NA KIBATALA:
Kesi itacheleweshwa sana na ma- STSTE ATTORNEY, itaisha 2023 na hukumu 2024 ambapo "mwamba atapigwa MVUA" , Mahakama ya rufaa kesi itamalizika 2027 kwa "mwamba" kuachiwa huru huku akiwa dhoofu na vijana wamemsahau mtaani!

Lissu ameingizwa mkenge na HANGAYA, wakatabasamu, HANGAYA akenda kwa mabebebru na akawahakikishia yupo pamoja na wapinzani. Mabeberu wametoa mkopo, sasa habari ya Lissu kwisha.

MBOWE akatae mawakili wake, akipewa nafasi ya kujitetea atoe REVONIA SPEECH , aelezee chaguzi zote na kukamatwa kwake, kupotea kwa watu wote na madhila yote na ahakikishe yote yanaandikwa then AMUACHIE TIGANGA aandike hukumu, hilo tu

Mandela's statement​

Mandela declined to give evidence in his defence, but chose instead to make a statement from the dock, highlighting his grievances, outlining his politics and explaining his ideals. The statement took three hours to deliver and is considered a pivotal moment in the history of the development of South African democracy. In it Mandela took pains to deny accusations that he was a communist, or that he regarded the Western parliamentary system as undemocratic.

‘On the contrary, I am an admirer of such a system ... The Magna Carta, the Petition of Rights [sic] and the Bill of Rights are documents which are held in veneration by democrats throughout the world.’

Mandela's reference to Magna Carta, with reference to the British parliamentary and legal systems, purposefully aligned him with the ideals of Western liberal democracy. The whole tenor of the statement promoted a free society within a constitutional democracy, while at the same time using Magna Carta to challenge the authoritarian practices of the apartheid regime.

The Rivonia trial, as it became known, concluded on 11 June 1964. Mandela, together with seven others, was convicted and sentenced to life imprisonment. He served a further 27 years before being released in 1990, and was subsequently elected President of South Africa (1994–99).

Yeye kaamua na mkewe na watoto ndo wana immediate matatizo, haihusu mtu mwingine - wacha ikae hivyo
 
Back
Top Bottom