Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Akizungumza leo Januari 20, 2025 katika ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu Mbowe amesema “kila mmoja wetu katika ukumbi huu waliofika Dar Es Salaam na watakaoendelea kuja Dar Es Salaam wote tuje tumenuia mamoja kwamba tutatoka hapa tukiwa imara pamoja(Stonger together)”
Siku ambayo dunia inasubiri, watesi wetu wanaisubiri, marafiki zetu wanaisubiri, na wanachama wetu wanaisubiri. Twendeni tukawaonyeshe kwamba CHADEMA ni mpango wa Mungu na hakika huu ni mpango wa Mungu,