Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Yeye alipokuwa anataka kuwaondoa watu ambao ni ICON ya CHADEMA alikuwa anataka kuijenga au??
Kwa akili ya kawaida CHADEMA ambayo ingekuwa bila Msigwa,Lissu,Lema,Heche,Pambaluna Wenje ingekuwa Chadema ya aina gani??
Haya ndiyo madhala ya kucoment bila kusomaUsiku wa deni....
Pole Lissu wapambe wako hawakukupa info za kweli.
Aliishawajua ni ma snitch. Just imagine, Mch. Msigwa kushindwa tu Uwenyekiti wa Kanda akakimbilia kwetu CCM! Je, huyo alikuwa na mapenzi ya kweli Chadema?Yeye alipokuwa anataka kuwaondoa watu ambao ni ICON ya CHADEMA alikuwa anataka kuijenga au??
Kwa akili ya kawaida CHADEMA ambayo ingekuwa bila Msigwa,Lissu,Lema,Heche,Pambaluna Wenje ingekuwa Chadema ya aina gani??
Umeonaaa....A good dancer knows the good time to leave on the stage